Breaking News

SIRI ILIYOJIFICHA NYUMA YA PAZIA;Kumbukumbu: Ni Kipi Kiliwafanya Barrick(Acacia) Kumpa Mkapa Kinyago cha Dhahabu..!!!?


Wakati akiwa madarakani alipotembelea mojawapo ya mgodi wa Barick gold mine alipewa kinyago cha dhahabu. Ni kipi kiliwafanya Barick kumpa zawadi ile ya kinyago cha dhahabu Mkuu? Je Mkulu aliwafanyia nini hawa jamaa mpaka wakampa zawadi ya thamani kiasi hicho?

Tuache siasa tuongee ukweli tupu.