Breaking News

NDUGAI: ASKARI NIKISEMA MBUNGE ATOKE AKIKAIDI MPIGENI NAWARUHUSU..!!!


SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amewapa maelekezo askari wa Bunge wampe kipigo Mbunge yeyote atakayeagiza atolewe nje ya Bunge na kukaidi, ili iwe mfano kwa wabunge wengine.