Breaking News

LISSU: 95% YA MADINI YETU YANAIBIWA HAPA NCHINI, MAGUFULI AMEKOMAA NA 5% SABABU TU YANAENDA NJE..!!!


Tundu Lissu amesema rais anamiinisha watu uongo na ripoti ya Profesa Mruma ni takataka ambayohaitamaliza hata dk. 15 mahakamani.

Amesema makontena yaliyoshikiliwa bandarini yana 5% pekee ya dhahabu yetu na 95% ya dhahabu wana extract mgodini na ndipo wanapotuibia lakini Magufulihajaona kama tunaibiwa kwa sababu tu wana extract mchanga nchi