Breaking News

EBITOKE AFUNGUKA JINSI ANAVYOMPENDA BEN PAUL,ATAMANI KUOLEWA NA MSANII HUYO...TAZAMA UBUYU WOTE HAPA CHINI



Kwa muda mrefu nimeficha hisia zangu kwa mwanaume huyu sababu nilikua naogopa kumueleza ukweli leo nimeona niseme ukweli.


Nampenda sana @iambenpol Natamani awe mpenzi wangu wa maisha, sijui kama anayempenzi wake au laa ila natanguliza samahani kama nimemkosea kumueleza hisia zangu mtandaoni nahisi siwezi kumueleza live naomba mliokaribu nae mumueleze hisia zangu