Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba mwananchi aliyefahamika kwa jina la Nurdin Kisinga ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika.
Mauaji hayo yametokea leo Jumatano majira ya saa saba na nusu mchana maeneo ya Umwe Kaskazini,Ikwiriri mkoa wa Pwani.
Marehemu hadi anakutwa na umauti alikuwa shambani kwake akiwa anavuna ufuta.Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya Mchukwi.
Baadhi ya picha za tukio hilo hizi hapa👇👇👇👇
BREAKING NEWS:MWANANCHI APIGWA RISASI HUKO IKWIRIRI MKOANI PWANI
Reviewed by
Unknown
on
3:53 PM
Rating:
5