Breaking News

TANZIA: MSANII DOGO MFAUME AFARIKI DUNIA

Taarifa Za kuhuzunisha kutoka Hospitali ya Muhimbili zinadai Kuwa Msanii Dogo Mfaume ameaga dunia Muda Mfupi uliopita. Dogo Mfaume Alifikishwa katika Hospitali hiyo Siku kadhaa zilizopita akitokea Back 2 Life Sober House Kigamboni ambako Alikua anaishi, Kabla ya umauti wake alikua anasumbuliwa na Uvimbe kwenye ubongo, hali iliyomsababishia kupungua Kwa uwezo wa kuongea, na Maradhi mengine, na ilikua afanyiwe upasuaji Ijumaa ya Kesho kutwa.

Kwa wasio mfahamu au kumtambua Dogo mfaume ni yule ambae alitamba na nyimbo yake inaiyoitwa Kazi ya Dukani.
Dogo Mfaume - Kazi Ya Dukani (Official Video)

Dogo Mfaume - Kazi Ya Dukani (Official Video)

Source: youtube

Dogo Mfaume - Kazi Ya Dukani

Indundi Music -

Biography | Video | News

Coming soon

Downloads(430) | Played(3908) | Download

- See more at: http://indundi.com/audio/13864/dogo-mfaume-kazi-ya-dukani#sthash.kafpryOJ.dpuf