STEVE NYERERE AIKOMALIA BONGO MOVIE...ADAI KUNA VYETI FEKI KIBAO

Kupitia mtandao wa instagram, ameandika ujumbe huu, “Sidhani kama hili zoezi la vyeti feki limeisha, lingekuja mpaka huku kwetu ningecheka sana, maana huku kuna makundi 2 wasaniii feki (2) na vilaza wasio jitambua hawa wote ni mzigo kwa TAIFA,”.



