PICHA:Huyu ndiye Pacha wa Lionel Messi Aliyepatikana "Tehran" Iran.

Reza parastesh raia wa Iran anayepatikana Tehran amekuwa gumzo kwenye
mitandao ya kijamii mara baada ya picha na muonekano wake kufanana na
mwanasoka anayechezea timu ya Barcelona na Albacete Lionel Messi.
Je amefanana kweli na Messi au porojo tu


