HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA BASI MKOANI ARUSHA.
Wanafunzi
na walimu hao walikuwa wakitoka shuleni kwao kwenda shule ya msingi
iitwayo Tumaini kwa ajili ya kufanya mtihani wa ujirani mwema na
walipofika katika eneo la Rhotia Marera basi walilopanda liliacha njia
na kisha kutumbukia korongoni ambako limesababisha vifo hivyo na
majeruhi watatu.
Hapa chini ni majina ya wanafunzi waliofariki katika ajali hiyo