Kufuatia promosheni ya Tigo ya "jazwa ujazwe" wateja wengi wameipokea huduma hiyo kwa mtazamo tofauti.
Nimekuwekea hapa audio ya mteja aliyewapigia simu Tigo na akafunguka hisia zake jinsi anavyokerwa na promosheni hiyo. Bonyeza play hapa chini👇👇👇 umsikilize kwa makini.