VIDEO: Msikilize Mwakyembe Akimtuhumu Nassari Kuingia na Konyagi Bungeni....Chanzo Kikuu ni Sakata la Richmond
Jana
Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe
alimtuhumu Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari kwa kuingia
bungeni akiwa amekunywa pombe aina ya konyagi, huku akijibu tuhusa za
sakata la Richmond


