Spika wa Bunge Akutana na Rais wa TLS, Tundu Lissu.

Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai
akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS)
Mhe.Tundu Lissu walipofika na Ujumbe kutoka TLS kumtembelea ofisini
kwake Bungeni Mjini Dodoma.

Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza
na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu na
ujumbe wake walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.

Rais
wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu akimueleza
jambo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai
alipofika kumtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma pamoja na viongozi
wengine wa TLS.

Rais
wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu akimuonesha
kitabu chenye nyaraka kadhaa za Chama cha Wanasheria wa Tanganyika
(TLS) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai
alipofika kumtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma pamoja na viongozi
wengine wa TLS.

Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akipokea
kitabu chenye nyaraka kadhaa za Chama cha Wanasheria wa Tanganyika
(TLS)kutoka kwa Rais wa chama hicho Mhe.Tundu Lissu wakati viongozi wa
Chama hicho walipofika kumtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma pamoja na
viongozi wengine wa TLS.



