RC PAUL MAKONDA ARUSHA JIWE GIZANI.....AANDIKA UJUMBE WENYE FUMBO NDANI YAKE INSTA.
RC wa Dar Ameandika ujumbe wa mafumbo kupitia ukurasa wake wa Instagram, Haijaeleweka na Nani analegwa hapo..Hebu jisomee na wewe labda unaweza tegua mtego
By @paulmakonda
“Hakuna kitu kibaya kama kudanganywa na mtu huku ukijua anakudanganya na wakati huo huo anaekudanganya hajui kama unajua anakudanganya. Basi kazi yako inakuwa nikucheka kimoyomoyo”