Breaking News

HANSCANA AFUNGUKA KUHUSU UJIO MPYA WA DARASSA...ADAI MAANDALIZI YA NYIMBO ZA MSANII HUYO NI ZAIDI HATA RAIS ANAVYOANDALIWA.

Mashabiki wengi wa muziki nchini wanataka kujua Rapa Darassa ambaye bado yuko chimbo atakuja na wimbo gani baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Muziki’.
Rapa huyo bado yupo kwenye tour yake ya kimataifa nchini Rwanda na Burundi na baada ya hapo ataachia kazi yake mpya.
Akiongea na Bongo5 Jumanne hii muongozaji wa video nchini, Hanscana ambaye kwa sasa anafanya kazi na rapa huyo kama meneja, amefunguka kuzungumzia ujio wa rapa huyo baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Muziki’.
“Sisi tumejiandaa vizuri kwa sababu tunajua mashabiki wanataka nini,” alisema Hanscana. “Maandalizi ni makubwa sana, yaani ni kama tunaandaa Marais 5 wa nchi. Kwahiyo tumejipanga vizuri kuhakikisha jamaa anarudi vizuri katika game,”
Rapa huyo alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu lakini ameshindwa kutokana na tour yake ya kimataifa.
Video ya wimbo ‘Muziki’ wa rapa huyo mpaka sasa katika mtandao wa video wa YouTube imeangaliwa mara 7,056,225 kwa kipindi cha miezi 5.
Marekani yaanza kuikwepa kivita Korea Kaskazini Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako USS Carl Vinson Picha: 14 Aprili 2017Haki miliki ya pichaREUTERS Image captionMeli ya kubeba ndege za kivita ya USS Carl Vinson (kushoto) na meli nyingine zilielekea Bahari ya Hindi Kundi la meli za kivita za Marekani, ikiwemo meli yenye uwezo wa kubeba ndege za kivita, hazikuwa zinaelekea upande wa Korea Kaskazini kama ilivyoripotiwa awali, bali zilikuwa zinaelekea eneo tofauti. Jeshi la wanamaji la Marekani lilikuwa limetangaza 8 Aprili kwamba kundi hilo la meli likiongozwa na meli kubwa ya Carl Vinson lilikuwa likielekea rasi ya Korea, kama hatua ya kuionya Korea Kaskazini. Wiki iliyopita, Rais Trump pia alitangaza kwamba kundi kubwa la meli za kivita lilikuwa likitumwa eneo hilo. Lakini imebainika kwamba ukweli ni kuwa meli hizo zilikuwa zinaelekea eneo tofauti. Kufikia mwishoni mwa wiki, zilikuwa zimesafiri mbali sana na rasi ya Korea na zilikuwa zinapitia mlango wa bahari wa Sunda kuingia katika Bahari ya Hindi. Wakuu wa jeshi la wanamaji la Marekani katika Bahari ya Pasifiki walisema Jumanne kwamba walikuwa wamefutilia mbali safari ya meli hizo katika bandari ya Perth. Hata hivyo, wanajeshi wake walikuwa wamekamilisha mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyokuwa yamepangwa awali kati ya majeshi ya Marekani na Australia katika pwani ya kaskazini magharibi mwa Australia. Baada ya mazoezi hayo, meli hizo zilielekea Singapore tarehe 8 Aprili. Kundi hilo la meli sasa "linaelekea Magharibi mwa Pasiki kama lilivyoamrishwa". Mwandishi wa BBC anayeangazia habari za Korea Stephen Evans anasema bado haijabainika iwapo kulitokea suitafahamu katika mawasiliano au labla Marekani ilipotosha watu makusudi kujaribu kumtia wasiwasi kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un. map Awali, Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence alionekana kutoyumba alipohutubia wanahabari akiwa kwenye meli ya kivita ya USS Ronald Reagan ambayo imetia nanga Japan. Aliapa kwamba Marekani iko tayari "kushinda shambulio lolote na kukabiliana na matumizi yoyote ya silaha za kawaida au za nyuklia kwa nguvu zake zote." Korea Kaskazini na Marekani zimekuwa zikijibizana vikali viki za hivi karibuni na safari ya meli hizo ilikuwa imeibua uwezekano wa Marekani kutekeleza shambulio la mapema kujaribu kulemaza mfumo wa kijeshi wa Korea Kaskazini. Jumatano, Bw Pence alitaja taifa hilo kuwa "tishio kubwa zaidi na la dharura kwa amani na usalama" katika maeneo ya Asia na Pasifiki.

Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap