Gwajima Aibukia Freemason..Afunguka Mazito Kuhusu Watanzania Waliojiunga na Dini Hiyo.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameendelea na
mahubiri yake ya kila Jumapili huku jana akiibua mada ya watanzania
waliojiunga na Freemason.
Katika mahubiri hayo, Gwajima alisema wapo watanzania ambao umaarufu wao
unatokana na dini ya Freemason huku akihusisha Freemason na imani za
kichawi.
“Nataka kabla hujamuimba mchungaji gwajima, urudie mara mbili, natetea
wafungwa, askari, walioumizwa, walioachwa, matajiri na maskini,” alisema