DIAMOND PLATINUMZ NA GWAJIMA HAPATOSHI.....TAZAMA ALICHOKIANDIKA MSANII MOND INSTA KUHUSU GWAJIMA
- diamondplatnumzYala!
Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba😟..... lakini mi nafkiri watu
wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa
nini ilikuwa maana yangu haswa... Hususani kama kipengele nilichomtaja
mzee wangu @Bishopgwajima
nilisema: "mara nasikia vya aibu Konda na Gwajima eti ugomvi
umekolea....ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti mmoja tu ndio kwa
mitandao anachochea..."
Point yangu ni kwamba licha ya kweli kuna yaliyojiri nyuma, lakini kwa busara zao ninazoamini wamejaaliwa na Mwenyez Mungu muda si mref wangekaa chini na kumaliza...nawote kufurahi kwa pamoja, lakini kwakuwa kuna dada mwingine alikua anachochea hawa ndugu zetu wazidi kufarakana...ikapelekea hadi kufikia hapa...asa hapo kosa langu mie liko wapi?😭
Chonde chonde mzee wangu @Bishopgwajima usinigeuze maji kesho 👐, mana nakujua ukimuamulia mtu.... naweza jumapili ya kesho nikaiona chungu Mwaka mzima😁😆 - Naye Mond baada ya kupost hivo mashabiki zake walimfariji kwa namna hii:-
- maisara2l!
- prince_peculiar_hNo one is great than Allah @diamondplatnumz be who you are for your best
- hainatpatelHaaha @leesyshyn hehh @mamuh__
- jiftdaniel@peace_maker_mitindo @official_jegreth @nexuztz 😂😂😂😂dhambi jaman sema dai kaniua mbavu uwiiii
- khalifajerryworldEt yala yala...gwajizo tena
- dayanasteven😂😂😂😂😂
- piusarnold15ucjal mwanagu
- emmy_msoma@ramsoh_tz 😂😂😂😂 eti na yeye anamuogopa
- hamzsonmmmmmh asee awamu tutazeeeka mapema sana maaana nahis akili zetu znachezewa sana daaaa haya masinema yanaisha lin...... Maana hata hii ya mond na gwaji isiwe bdo tupo mchezoni jmn kuwen na huruma na mabando muda na akil zetu khaaaa
- bellalicious_tzAtakuelewa endapo utaifungia hiyo nyimbo @diamondplatnumz tambua kwamba @bishopgwajima hajalalamika kuhusu sentensi , amekasirika kumtaja kwenye nyimbo ambayo inadidimiza haki za wananchi.. Mbona yuko clear,
- ecy_njauHahahaha jmn
- boazmwakasege1@carrymastory Haha njoo .. @tzswag kaka Dai ndio ninapompendea hapo tu...anajua kujishushaa
- meek_mill_millKweli mond umeyatimba
- kigo.fTafadhali @bishopgwajima samehe brand yetu Tunakuheshim mzee #Acha_ukae_Kimya bac Mangekimambi nae asikukimbize hivo bac 😧😧😧
- mommy_genius@ruthymuyinga @kaydubai naomba kesho mchukue vikombe namimi mnichotee maji ya Almasi
- ommymparaMhhh pastor msamehe mond mgeuze maji har rapa pls
- asyayassin46@official_nasra29 kazi ipooo
- dangoti_platnumzkwan mond una kosa gan mzee baba usi hofu tuko pamoja tuta kuombea mzee baba
- lizmichael10Hahahhahahhaha @sylarrahim85 bebe kesho twende kanisani kwa gwajima
- salumnurdin8@diamondplatnumz ww unamuogopaje @bishopgwajima kafiri huyu mwimbaji wa taharabu ana ata nidham ndio maana alimtukana askofu Pengo