TAZAMA JEURI YA PESA YA AKOTHEE ALIYOIONESHA KWENYE PATI HII YA MWANAE.
Mtoto huyo ambaye kwenye mtandao wa Instagram anatumia jina la @Baby Rue alimshukuru mama yake kwa kuandika, “The moment I saw this walking in i was too shocked to speak…mummy u wil always remain the best mother in the world@akotheekenya ….i love my new toy and yes i wunt accept any lift coz i got myn.. thank yu mummy
Sherehe hiyo ilifanyika katika hoteli ya Villa Rosa Kempinski iliyopo Nairobi, Kenya. Tazama picha zaidi za sherehe hiyo hapa chini.


