Breaking News

NAPE AFURAHISHWA NA UAMUZI WA RAIS MAGUFULI....TAZAMA ALICHOKIANDIKA MTANDAONI.


Baada ya Rais Magufuli kutoa agizo la kuachiwa kwa mwanamuziki Nay wa Mitego, aliyekuwa waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye amepongeza uamuzi huo.

Kupitia akaunti yake Twitter, Nape ameandika kama ifuatavyo.

napeeeeeeeeeeee