Leo
askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima, Dr. Josephat Gwajima amefika
ofisi za Clouds Media Group kwa ajili ya kutoa pole kufuatia tukio la
mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kuvamia kituo hicho akiwa na
askari wenye silaha.
==>Taama Full video ya tukio hilo
VIDEO: TAZAMA JINSI GWAJIMA ALIVYOWASILI CLOUDS TV KUWAPA POLE KUHUSU KUVAMIWA NA PAUL MAKONDA.
Reviewed by Unknown
on
5:05 PM
Rating: 5