Kundi la Weusi Wachukua Kijiti Cha Ubalozi wa Airtel Toka kwa Navy Kenzo.

Kundi hilo linaloundwa na Joh Makini, Nick wa Pili na G-Nako limechukua nafasi hiyo kutoka kwa kundi la Navy Kenzo ambao walikuwa mabalozi wa huduma nyingine mwaka jana.

Reviewed by Unknown
on
9:41 AM
Rating: 5