Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akizungumza na Balozi wa China
hapa nchini Dk. Lu Younqing wakati wakisubiri kupokea ujumbe wa watu
19, wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha
China (CPC) Guo Jialong, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo (kulia), akiongozana na Balozi
wa China hapa nchini Dk. Lu Younqing (katikati) kwenda kuupokea ujumbe
wa watu 19, wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti
cha China (CPC) Guo Jialong, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akimpokea Mjumbe wa Kamati Kuu
ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akimpokea Mjumbe wa Kamati Kuu
ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo. Kulia ni
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela
Lubinga.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu
ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong, baada ya kumpokea
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jjini Dar es
Salaam, leo.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, akimsindikiza Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Guo Jialong (kushoto),
kwenda kwenye gari, baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere, jjini Dar es Salaam, leo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China, Guo Jialong akipanda
katika gari. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akiingia kwenye gari alilopanda
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Guo
Jialong, kumpeleka kwenye Chumba cha Mapumziko cha watu mashuhuri,
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es
Salaam, kabla ya kumpeleka hotelini.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CPC, Jialong akipewa saluti na Mwabata wa Ubalozi wa
China, alipokuwa akienda kwenye chumba cha mapumziko cha watu mashuhuri
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, baada ya kuwasili
nchini leo
Wakienda kwenye chumba cha mapumziko cha watu mashuhuri kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Mpogolo
na mgeni wake wakiingia kwenye Chumba cha mapumziko cha watu mashuhuri
kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere. Katikati ni Balozi wa China
hapa nchini.
Wakiwa
katika mazungumzo mafupi kwenye chumba cha watu mashuhurikwenye Uwanja
wa Ndege wa Julius Nyerere kabla ya mgeni huyo kupelekwa hotelini
kupumzika
Magari yakiwa yamejipanga tayari ka safari ya kuupeleka ugeni huo wa CPC kwenda hotelini
Gari la Mjumbe wa Kamati Kuu ya CPC likiwa tayari kumchukua mgeni huyo kwenda hotelini
Mumbe
wa Kamati Kuu ya CPC, Guo Jialong, akiwasalimia baadhi ya maofisa wa
Wizara ya Mambo ya Nje, alipowasili hotelini kwa ajili ya mapumziko.
Nyuma yake ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo.
Baadhi ya maofisa wakati mgeni akisindikizwa kwenda hotelini
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo na Katibu wa NEC, Siasa na
Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga, wakiagana na
mgeni wao baada ya kumfikisha hotelini
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akizungumza na waandishi wa
habari waliotaka kujua kiini hasa cha ziara ya ugeni huo kutoka CPC.
CCM YAPOKEA UJUMBE MZITO KUTOKA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA LEO
Reviewed by Unknown
on
8:03 PM
Rating: 5