CCM Yakanusha taarifa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Komrade Kinana Ataongea na Waandishi wa Habari leo.

Napenda
kuwafahamisha kwamba hata sisi wenyewe tumesoma tu tangazo hilo kwenye
moja kati ya post za humu, hivyo naomba msihangaike nalo kwa sababu ni
uzushi.
Katibu Mkuu mwenyewe yupo safarini nje ya nchi karibu wiki nzima hii.
Nawasilisha kwenu kwa taarifa sahihi.
Charles Charles
Idara ya Itikadi na Uenezi
Tarehe 24 Machi, 2017


