Msanii wa muziki Diamond Platnum Jumamosi hii amefanya
sherehe ya arobaini ya mwanaye Nillan ambapo kwa mara ya kwanza, mtoto
huyo ameoneshwa sura hadharani katika sherehe ya aina yake, iliyofanyika
nyumbani kwao, Madale jijini Dar es Salaam.Diamond na familia yake Nillan alizaliwa nchini Afrika Kusini, yalipo makazi ya mwanamama
Zari na tangu kuzaliwa kwake, hakuwahi kuoneshwa sura hadharani hata
siku moja mpaka siku ya arobaini yake.
Tazama Picha:Arobaini ya mtoto wa Diamond yafana....Mastaa kibao Wahudhuria
Reviewed by Mipiko
on
9:25 AM
Rating: 5