Breaking News

Video: Tabla ft Peter Msechu – Nasema Nawe


Rapper Tabla ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Nasema Nawe’ aliomshirikisha Peter Msechu. Wimbo umetayarishwa na Man Walter huku video ya ikiongozwa na Jerry Mushala.