Tazama Video:Wema Sepetu Kawatoa Hofu Mashabiki Wake...Ni Kuhusu Sakata la Madawa ya Kulevya

Wema amesikika kwenye sauti aliyoiweka kwenye mitandao akisema:
'Nadhani natakiwa kusema kitu sababu najua nina mashabiki, nina watu
wananipenda na kunifatilia…. nina watu wanani-support, nina watu wana
hofu kuhusu mimi.
"Nina watu ambao wananijali sana na nina uhakika yani wana wasiwasi sana lakini nataka tu niwaambia kwamba msiwe na wasiwasi"
==>Msikilize hapo chini


