Watoto wa Diamond Platnumz huzaliwa wakiwa na harufu za
ustaa unaotoka kwa baba na mama yao, Zari The Bosslady. Wakati Tiffah
akiendelea kushikilia taji la mtoto staa kuliko wote Afrika, mdogo wake
Nillan yuko nyuma kufuata nyayo zake.
Makampuni takriban matano yamejitokeza kudhamini sherehe za Nillan
kutimiza siku 40, ambapo kwa mara ya kwanza sura yake itaoneshwa.
Sherehe hizo zitafanyika wiki moja ijayo.
40 Ya Mtoto wa Diamond yafana...Makampuni Kibao yamiminika kuidhamini...Bonyeza hapa ujionee Uhondo
Reviewed by Mipiko
on
7:32 AM
Rating: 5