HATIMAYE HARMONIZE AFUNGUKA KUHUSU KUACHANA NA JACKLINE WOLPER...BOFYA HAPA KUJUA ZAIDI

Kumekua na taarifa
zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya kuachana kwa Jackline
Wolper na Harmonize na hii ni baada ya Jackline Wolper kumpost Harmonize
kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika maneno yaliyoashiria kuwa
wawili hao hawawezi kuendelea na mahusiano yao.

Post ya Wolper juu ya kusitisha mahusiano yake na Harmonize
imempata Harmonize kwenye Exclusive Interview ili aweze kuongelea ishu hii na yeye amesema..Mimi
sijui, naona tu vitu vinavyoendelea ila mimi sijampost wala sijaongelea
chochote popote pale so naona ni mageni kwangu mimi nadhani ni kitu
kizuri kama mkimtafuta mwenyewe muhusika na kumuuliza mimi ukiniuliza
unanionea’ –Harmonize


