Breaking News

Salamu za Heri ya Chrismas kwa Wapenzi Wasomaji Wetu


Tunawatakia Heri ya Chrismas.Tunatambua mchango wenu ndugu wasomaji wetu na nia na madhumuni ya Blog hii ni kuhakikisha kuwa mnapata habari kwa wakati.Ujumbe wetu kwa leo ni kwamba "Tudumishe amani,upendo,furaha na utulivu katika sherehe hizi na pia ulinzi kwa watoto wetu. 

Heri ya Chrismas na Mwaka mpya.

Aponius Mukama

C.E.O Mukamafunny.Blog