Balozi
wa Russia nchini Uturuki Bw. Andrei Karlov ameuawa kwa kupigwa risasi
mjini Ankara alipokuwa akihudhuria maonesho ya usanii.
Serikali ya Uturuki imemtaja mshambuliaji kuwa ni askari wa polisi.
Shambulizi hili limetokea siku moja kabla ya waziri wa mambo ya nje
wa Uturuki kwenda Moscow kwa ajili ya mazungumzo na wenzake wa Russia na
Iran kuhusu suala la Syria.
Balozi wa Urusi nchini Uturuki auawa
Reviewed by Mipiko
on
6:14 PM
Rating: 5