MTOTO ATUNUKIWA "PHD" YA CHUO KIKUU CHA KILIMO SOKOINE
Novemba 25, 2016 Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo kilikuwa na sherehe ya mahafali ya 32 ya chuo hicho katika Kampasi ya Solomon Mahlangu “Nelson Mandela Freedom Square” Mazimbu mkoani Morogoro, kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Wahitimu wa ngazi mbalimbali za elimu walihitimu masomo yao na kutunukiwa Shahada ya Awali, Shahada ya Umahiri na Shahada ya Uzamivu.



