Katika
kutekeleza mkakati wa kampuni wa kutunza mazingira na sera ya
wafanyakazi kutumia muda wao kwa ajili ya kazi za kijamii,wafanyakazi wa
TBL Group wameungana na viongozi wa serikali na wafanyakazi wa taasisi
mbalimbali za kiserikali na za binafsi katika kampeni ya uhamasishaji
upandaji miti inayojulikana kama Mti Wangu.
Kampeni
hii imezinduliwa leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Mh.Samia Suluhu Hassan katika eneo la viwanja vya Gymkhana.
Pichani juu ni Diwani
wa kata ya Kivukoni manispaa ya Ilala Henry Massaba wa pili (kushoto)
akimkabdhi mti wa kupanda Meneja Ufanisi wa Uzalishaji Charles Nkondola
Charles Nkondola kwa niaba waya wafanyakazi wa TBL Group wakati wa
uzinduzi wa kampeni ya ‘Mti Wangu’ .Kushoto ni Meneja wa Afya na
USalama, Renatus Nyanda.gg
Mkuu
wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kushoto)akisalimiana na Meneja wa
Uufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nkondola, mara baada ya
kumaliza zoezi la upandaji miti eneo la Gymkhana.
Mkuu
wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kushoto)akisalimiana na Meneja wa
ufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nkondola, mara baada ya
kumaliza zoezi la upandaji miti eneo la Gymkhana.
Mkuu
wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kushoto)akisalimiana na Meneja wa
Uufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nkondola, mara baada ya
kumaliza zoezi la upandaji miti eneo la Gymkhana.
Mkuu
wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kushoto)akisalimiana na Meneja wa
Uufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nkondola, mara baada ya
kumaliza zoezi la upandaji miti eneo la Gymkhana.
Meneja
wa Ufanisi wa Uzalishaji wa TBL Group Charles Nnkondola
(kulia)akimsikiliza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa
akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya 'Mti wangu'.
Mkuu
wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wa TBL Group eneo mara baada ya kumaliza zoezi la kupanda
mti wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Mti Wangu’