Video: Wanga hawakosi kwa kila anayepigania haki yake – Rich Mavoko
Msanii wa Muziki, Rich Mavoko amesema yupo tayari kupambana kufa na kupona kuhakikisha anafanikiwa kwenye muziki wake huku akidai watu wanaopigania haki zao hawakosi kipigwa.
Reviewed by Baraka
on
9:32 AM
Rating: 5