Afya ya mchekeshaji mkongwe nchini Tanzania, Mzee Majuto bado sio nzuri kwani amelazwa tena katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jumanne ya wiki hii.
Mzee MajutoMkurugenzi wa Mawasiliano wa Hospitali ya Muhimbili, Aminiel Aligaesha ndiye aliyethibitisha taarifa hizo za kulazwa kwa Mzee Majuto. Hii inakuwa mara ya pili kwa mchekeshaji huyo kulazwa katika Hospitali ya Muhimbili kwani mapema mwaka huu alilazwa Hospitalini hapo kabla ya kupelekwa India kwa matibabu zaidi
Mzee Majuto hali yake si shwari, alazwa tena ICU Muhimbili
Reviewed by Baraka
on
11:09 AM
Rating: 5