Hapa ndipo atakapozikwa Mzee Majuto, pamezunguukwa na nyumba na Msikiti wake (+video)
Tazama video ya eneo ambalo mwili wa marehemu Mzee Majuto utazikwa leo Agosti 10 huko mkoani Tanga katika mashamba yake.
Reviewed by Baraka
on
12:26 PM
Rating: 5