Breaking News

PICHA:TAZAMA MATUKIO YOTE JINSI DIAMOND PLATINUMZ ALIVYOTUMBUIZA KATIKA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE ZANZIBAR

Usiku wa Jumamosi hii Diamond Platnumz ametumbuiza katika uwanja wa Amaan katika Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar katika tamasha la kusherehekea kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na maadhimisho ya kifo cha Hayati Mwalimu Julius Nyerere.


Katika tamasha hilo Diamond alihudhuria na timu yake ya WCB akiwemo na Petit Man na wengine. Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.