Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima hii leo ameachiwa huru na mahakama kufuatia kesi iliyokuwa inamkabili ya kushindwa kutunza silaha.
Baada ya hukumu hiyo askofu Gwajima ametupia ujumbe wenye hisia kupitia akaunti yake ya Instagram.