WOLPER AMTUKANA SHEMEJI YAKE "NDIKUMANA" LIVE INSTA....TAZAMA MWENYEWE UBUYU WOTE HAPA
Kufuatia ugomvi wa maneno unaoendelea mitandaoni baina ya muigizaji Irene Uwoya na baba wa mtoto wake Ndikumana, hii leo sakata hilo limefika pabaya.
Kupitia mtandao wa Instagram mcheza soka Ndikumana alitupia stori akifunguka jinsi ambavyo alikuwa akiishi na Irene Uwoya na kwa namna moja ama nyingine basi amemgusa shemeji yake (Jackline Wolper).
Ishu hiyo inaonesha dhahiri kwamba Wolper ame-maind kinoma na hapa tazama alichokijibu kupitia akaunti yake ya Insta.



