Harmorapa aelezea maisha yake yalivyokuwa na biashara za mitumba alizokuwa akifanya na pia amefunguka kuwa hajawahi kuishi na baba na mama kwa kuwa walitengana. Kama kawaida yake hajamuacha Wema Sepetu salama.
Tazama Video hapa chini:
VIDEO:TAZAMA INTERVIEW YA HARMORAPA AKIHOJIWA NA FAIZA ALLY....AMEMTAJA WEMA SEPETU KWA MARA NYINGINE
Reviewed by Unknown
on
10:28 AM
Rating: 5