Breaking News

  

VIDEO:RAIS MAGUFULI ATEMBELEA ENEO LA FERI JIJINI DAR ES SALAAM NA PIA KUVUKA KWENDA KIGAMBONI KWA KUTUMIA KIVUKO CHA MV-KIGAMBONI

Ijumaa ya leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dtk. John Pombe Magufuli amewatembelea wananchi wa eneo la Feri jijini Dar es salaam na pia kuzungumza nao machache yahusuyo maendeleo. Katika ziara hiyo Mheshimiwa Rais Magufuli amevuka bahari kwenda Kigamboni kwa kutumia kivuko cha Mv-Kigamboni. 

Katika video hii hapa chini Rais Magufuli amezungumza na wananchi japo kwa ufupi na kuweza kuwatatulia kero mbalimbali pamoja na kuwahakikishia kuhusu msimamo wa serikali ya awamu ya tano.