VIDEO:MKE WA ROMA MKATOLIKI (MAMA IVAN) AKIRI KUWA HATA MME WAKE ANACHEPUKA....BOFYA HAPA KUPATA UBUYU WOTE
Wiki hii msanii Roma Mkatoliki ameachia nyimbo inayokwenda kwa jina la "Zimbabwe" nyimbo ambayo alishindwa kuitambulisha live kwenye vyombo vya habari kutokana na sababu anazozijua yeye mwenyewe. Ili kuwatoa hofu mashabiki wake Roma aliamua kumtuma mke wake (Mama Ivan) kwenda Clouds Fm kuweza kuitambulisha ngoma hiyo.
Akihojiwa wakati akiwa Clouds fm mama Ivan alifunguka mambo mengi haswa kuhusu maisha yake na Roma na hakusita kuweka bayana kwamba anaamini kuwa mme wake huyo anachepuka kwa maana imekuwa ni kama hulka ya wanaume wote duniani.
Video hii hapa chini imesheheni habari kamili, bofya ili upate ubuyu wote.