Breaking News

TAZAMA PICHA: HAJI MANARA ALIVYOIWAKILISHA YANGA KUPOKEA VIFAA VYA MICHEZO VILIVYO TOLEWA NA VODACOM

Kampuni ya VodacomTanzania imekabidhi vifaa kwa timu shiriki Ligi Kuu itakayoanza rasmi Agosti 26, 2017
Hii ndiyo itakuwa jezi mpya ya Yanga kwa ajili ya msimu ujao.

Afisa habari wa timu ya Simba Haji Manara ameiwakilisha timu ya Yanga kwenye upokeaji wa vifa vya michezo kwa msimu ujao wa VPL.