Leo Jumatano Tarehe 23/08/2017, Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi ataongea na Vyombo vya Habari.
Tarehe: 23/08/2017.
Mahali: Idara ya Habari (MAELEZO).
Muda: Saa Nne Kamili Asubuhi (04:00 asubuhi).