Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. William Anangisye kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Prof. William Anangisye ni Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE).
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI KATIKA BODI YA MIKOPO (HESLB)
Reviewed by Unknown
on
7:47 PM
Rating: 5