Breaking News

  

BREAKING NEWS:UHURU KENYATTA ATANGAZWA KUWA MSHINDI WA URAIS KENYA

Rais Uhuru Kenyatta ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika Jumanne nchini Kenya, saa chache baada ya upinzani kupinga mpango wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kenya (IEBC) wa kutangaza mshindi leo.