ALIKIBA AMETULETEA VIDEO MPYA INAYOITWA ‘SEDUCE ME’...... BOFYA HAPA KUITAZAMA

Alikiba ambaye ni mkurugenzi na sehemu ya wamiliki wa kampuni ya Rockstar4000 Music Entertainment and Rockstar Television inayojishughulisha na utengenezaji wa vipindi vya mastar tofauti kutoka nchi mbalimbali ameachia Video yake leo Agosti 25, 2017.