Leo tarehe 03/06/2017 inachezwa fainali ya
Uefa inayowakutanisha wababe wa Italy na Juventus na Wababe wa Spain
Real Madrid ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi ha Mabigwa.Kuangalia Bofya hapa chini utakutana
na Tv 3 au 4 chagua yenye mwonekano mzuri uangalie Mubashala