SERIKALI YAONYA KUHUSU WATU WANAOWAHUSISHA MARAIS WASTAAFU NA SAKATA LA MCHANGA WA MADINI

Katika
taarifa ambayo imetolewa na Waziri Mwakyembe imeeleza kuwa kuna baadhi
ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii wamekuwa wakituhumu Marais
wastaafu bila kujua athari zake kiasiasa na kijamii


==>Msikilize Waziri Mwakyembe Akiongea Hapo chini