Kupitia ukurasa wao wa Facebook wametoa taarifa inayowataka wananchi kuendelea kuwasaidia watoto wenye uhitaji pamoja na kufichua vituo vya watoto yatima vinavyohitaji msaada.
MO DEWJI FOUNDATION YATOA WITO KWA WANANCHI KUHUSU WATOTO WENYE UHITAJI
Reviewed by Unknown
on
5:46 PM
Rating: 5