Breaking News

LULU AMZIMIKIA MWANAMZIKI ASLAY...ADAI NDO MFALME WAKE

Kupitia mtandao wa Twitter wa Mwandada huyo ameonesha mapenzi ya wazi wazi ya ushabiki wake kwa Mwanamuzili Aslay kwa kuandika "Aslay ni Mfalme wangu wa Bongo Fleva🙌🏿🙌🏿 Ni Moto🔥Anaunguza🔥🔥🔥🔥🔥🔥" Lulu amezitaja nyimbo 3 za Aslay alizoachia hivi karibuni na kusema zote ni kali.