HIZI HAPA TETESI ZA USAJILI LIGI KUU TANZANIA BARA
SABABU ZA USAJILI WA SALUM KIMENYA KUKWAMA
Beki Bora namba 2 wa msimu wa 2016/2017 yani msimu uliopita kulingana na kikosi bora cha VPL Salum Kimenya wa Prisons amesema kitu kinachosababisha yeye kutosaini kwenye baadhi ya vilabu vinavyotajwa kumwania kama Simba, Azam na Singida United ni kushindwana kimaslahi.
“Tunachoshindana na klabu zinazonihitaji ni maslahi, kuna mambo nayahitaji kabla ya kusaini lakini wao wananipiga chenga. Asilimia 70 mimi nitabaki Prisons msimu ujao,”alisema Kimenya,
USAJILI YANGA 24 JUNE 2017
Rafael Daudi Akizungumza Kupitia Kipindi cha Michezo cha Azam Tv amethibitisha Kumalizana na Yanga
“Nimefikia makubaliano rasmi na uongozi wa timu ya Yanga kwaajili ya maandalizi ya kuichezea msimu ujao na Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani.

USAJILI SIMBA 24 JUNE 2017
Simba leo wanatarajia kumpokea mshambuiaji wao wa zamani Emmanuel Okwi anayetarajiwa kusaini leo kandarasi ya miaka 2 kuitumikia klabu hiyo.
USAJILI AZAM FC 24 JUNE 2017
Azam Fc wamesema wanamsubiri kocha wao mkuu Mromania Aristico Cioaba kuendelea taratibu za usajili ambazo Azam walikuwa wameshazianza kwa kumsajili Mbaraka Yusuph kutoka Kagera, Salmin Hoza na Benedict Haule kutoka Mbao Fc na Pia wamepandisha Vijana kadhaa kutoka Timu ya Vijana.